Vijana wa Yamoto Band Leo wamekwea Pipa wakiongozana na Boss wao Saidi Fella kuelekea Afrika ya Kusini kwenda kufanya Video ya Wimbo wao Mpya Cheza kwa Madoido chini ya Director Godfadher.Picha zaidi
Picha: Yamoto Band wakiondoka Kuelekea SA kufanya Video na Godfather
Reviewed by Stanrex
on
3:54 AM
Rating: 5
No comments: