Picha Mpya: Yamoto Band wakishoot Video South Afrika





Kama tunavyojua Kikundi bora cha mwaka kwenye tuzo za KTMA2015 Yamoto Band kipo nchini South Afrika kwa ajili ya kushoot video yao mpya ya nyimbo ijulikanayo kama Cheza Kimadoido ambayo inaongozwa na Director maarufu ajulikane kama GodFather. Zifuatazo ni baadhi ya picha za maandalizi ya video hiyo...


Picha Mpya: Yamoto Band wakishoot Video South Afrika Picha Mpya: Yamoto Band wakishoot Video South Afrika Reviewed by Stanrex on 2:25 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.