Haya hapa MAJINA YA WASHINDI WA TUZO Za KILI MUSIC AWARDS 2015 #KTMA2015

Ushindani ulikuwa mkubwa sana katika vipengere vyote vilivyowaniwa na wasanii hata makundi mbalimbali ya muziki tanzania na afrika mashariki.

Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kujua mkali nani kati ya ALI KIBA na DIAMOND lakini ubishi umekwisha kufuatia kupatikana kwa tuzo hizo kati ya wasanii hao wawili.
Ili kujua nani kamuongoza mwenzake angalia washindi wa tuzo hizo katika list mbalimbali hapa chini.




KUNDI BORA LA MUZIKI (BONGO FLEVA)
YA MOTO BAND


KUNDI BORA LA MUZIKI (TAARABU)
JAHAZI MORDEN TAARAB


MWIMBAJI BORA WA KIUME (BENDI)
JOSE MARA


MWIMBAJI BORA WA KIKE(TAARABU)
ISHA MASHAUZI


WIMBO BORA WA MWAKA(BONGO FLEVA)
MWANA(Alikiba)


WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
WALE WALE(Fm Academia)



MWIMBAJI BORA WA KIUME (TAARABU)
MZEE YUSUPH


WIMBO BORA WA RNB
SISIKII(Jux)


MWIMBAJI BORA WA KIKE (BONGO FLEVA)
VANESSA MDEE


MWIMBAJI BORA WA KIUME (BONGO FLEVA)
ALI KIBA


MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
VANESSA MDEE


MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME
ALI KIBA


WIMBO BORA WA HIP HOP
KIPI SIJASIKIA(PROF JAY)


WIMBO BORA WA REGGAE/DANCEHALL
LET THEM KNOW(Maua)


RAPA BORA WA MWAKA (BENDI)
FEGASON


MSANII BORA WA HIP HOP
JOH MAKINI


WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
SURA YAKO (Sauti Sol)


MTUNZI BORA WA MWAKA (TAARABU)
MZEE YUSUPH


MTUNZI BORA WA MWAKA (BENDI)
JOSE MARA


MTUNZI BORA WA MWAKA (HIP HOP)
JOH MAKINI


MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(BONGO FLEVA)
NAH REAL


MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO(TAARABU)
ENRICO


MTAYARISHAJI(PRODUCER) BORA WA NYIMBO (BENDI)
AMOROS


VIDEO BORA YA MWAKA
MDOGO MDOGO(DIAMOND)


WIMBO BORA WA AFRO POP
MWANA(AliKiba)


WIMBO BORA WA ZOUK RUMBA
NTAMPATA WAPI(Diamond)


WIMBO WENYE ASILI YA KITANZANIA
WAITE(Mrisho Mpoto)


MSANII BORA CHIPUKIZI
BARAKA DA PRINCE


WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA
KIBOKO YANGU(Mwana FA feat Ali Kiba)


BENDI BORA YA MWAKA
FM ACADEMIA


MTUNZI BORA WA MWAKA
ALI KIBA

Haya hapa MAJINA YA WASHINDI WA TUZO Za KILI MUSIC AWARDS 2015 #KTMA2015 Haya hapa MAJINA YA WASHINDI WA TUZO Za KILI MUSIC AWARDS 2015 #KTMA2015 Reviewed by Stanrex on 12:27 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.