Milango ya mafanikio inazidi kufunguka kwa msanii Diamond Platnumz baada ya msanii huyu
mkubwa kutaka kufanya kazi na Diamond Platnumz, Msanii huyu ajulikanae kama Donald in denial pia amekuwa Nominated katika Tuzo za BET , ambapo Afrika Mashariki tunawakilishwa na Sauti Sol.
DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA DONALD
Leo katika account ya Instagram ya msanii huyu wa kimataifa amepost picha akiwa na Diamond na kusema kuwa kuna kitu kikubwa kinakuja...
Ameandika "NEWS: Going in studio with Tanzanian Superstar@diamondplatnumz from today#NewJourney #AfricaTakeOver#PanAfricanCollabo"
Diamond Platnumz Kuja na Collabo nyingine na msanii mkubwa Afrika.
Reviewed by Stanrex
on
11:28 AM
Rating:

No comments: