Mashindano ya Dance 100 kwa mwaka huu ndio yamefika tamati jioni ya katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay. Nimekuwekea baadhi ya picha nilizozichukuwa jioni ya leo.
Mtangazaji Tbway kutoka EATV
Miss Maggie Vampire mmoja wa MC wa leo
Wengine walionekana kupumzika kufanya kazi kidogo ili wasipitwe na wao
Hawa ni washindi wa 3
Washindi wa 2 Team ya Shamba wamepokea mil 1.5
Pichani ni washindi wa Dance 100 2015 wanaitwa THE W.D wamepata kitita cha sh mil 5 cash
Majaji wa Dance 100 wakiwapungia mkoni washindi.
PHOTO’S: Yaliyojiri kwenye fainali ya DANCE 100 ndani ya viwanja vya DON BOSCO Dar es Salaam
Reviewed by Stanrex
on
12:01 AM
Rating:
No comments: