Wananiita Sam Sam Sam Sam Magoli/
Ona wame-jam jam jam,they don't even know me(Ey ey)
Wananiita Sam Sam Sam Sam Magoli(Magoli).... Wayaaaa!
Verse 1:
Wanashindwa nikadiria wakiround off/
Kwenye sports round up Unju niko top wako downlow/
Kwa downloads kila siku nakimbiza/
Niondolee kiwingu na kigiza sikiza/
Bongo Shobo Sana BSS/
Nawachana mpaka TFF/
Wote kichefuchefu/
Hawataki hata Cv zijengwe/
Ningeonekana vipi bila TP Mazembe/
Kuna tofauti kati ya bidii na mbwembwe/
Mimi na wewe au BP na Ngwengwe/
Funga Yanga funga simba funga njia/
Samatta wa Rap nyavu jinsi nazifumania/
A.k.a Sam Magoli/
Nawakilisha Tanzania nimejam na mori/
Usijitoe ufahamu Kamogi/
Bongo nzima iliandamana nimecome na trophy/
Verse 2:
Napokea noti sipokei Chenchi/
First eleven sitokei benchi/
Sipotei benki wakinipay Genk/
Nasave kila digit sikosei senti/
Mchizi tu kachala uwanjani ndo msala/
Nawakilisha Mbagala hapa nyumba mbele jalala/
Magari ya bei mbaya na sisahau daladala/
Mbwana Samatta Road nimepewa barabara/
Mbele kwa mbele mazee sirudi nyuma/
Siri ya mafanikio nidhamu na kujituma/
Walioendekeza anasa tumeona wamebuma/
Big up kwa Mrisho Ngassa pambana achana na rumours/
Amani kwa Ulimwengu mwanangu wa dhahabu/
Mafanikio yangu kwako yaongeze ghadhabu/
Niko juu wanga hamna story/
Unju Bin Unuq a.k.a Sam Magoli/
By Nikki Mbishi 2017.
Nikki Mbishi - Sam Magoli
Reviewed by Stanrex
on
11:30 AM
Rating:
No comments: